Friday 24 June 2016

Faida za vyakula vinavyosaidia kupata vitamin A mwilini

Na Kalonga Kasati
 
VITAMINI "A" ni miongoni mwa virubisho muhimu sana katika mwili wa binadamu,
(a) Baadhi tu ya kazi zake
1 kulinda chembechembe za damu zisiguswe au kukumbwa na maadui,
2 kuimarisha mifupa,
3 kuyapa nguvu macho (kuona),


(b) dalili za kupungua vitamini "A" mwilini
1 kuhisi baridi hata kama hamna,
2 kudumaa na kulegea kwa mwili,
3 kukosa hamu ya kula,
4 meno kuoza,
5 fizi kuvimba na kuoza,
6 kukomaa kwa ngozi na
7 kukosa hisia za kunusa,kuona na kusikia.

(c) vitamini "A" inapatikana kwenye
1 machungwa yana "v.a. nyingi,
2 karoti mbichi isopikwa,
3 nyanya mbivu usipike,
4 pilipili hoho,
5 tikiti maji,
6 viazi vitamu,
7 embe dodo na
8 matunda yote yawe yameivia mtini sio nyanya unaenda kuiivishia nyumbani.

No comments:

Post a Comment