Tuesday 28 June 2016

Vituo vya mafuta vyapokonywa leseni Kenya

 
Tume ya kudhibiti nishati nchini Kenya (ERC), imevipokonya leseni vituo vya mafuta kwa kuuza mafuta machafu.
Uchunguzi uliofanywa ulibaini kuwa mafuta ya diesel au petroli, yalikuwa yamechanyanga na mafuta taa pamoja na bidhaa zingine.

 
Hata hivyo ni vitua vichache viliathiriwa kwa sababu asilimia 96.1 ya vituo vyote vilivyofanyiwa uchunguzi viligunduliwa kuwa na mafuta yaliyo safi.
Tume ya ERC ilinzisha mpango wa kuchunguza mafuta mwaka 2015 ili kuwawezesha wauza mafuta, kuhakikisha kuwa mafuta yao ni safi kabla ya kuyauza.

No comments:

Post a Comment