Sunday, 19 June 2016

Waumini wa Dini ya Kiislamu wajitokeza kwa wingi kwenye mashindano ya Quraan tukufu uwanja wa uhuru jijini Dar

Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislam toka maeneo mbalimbali Jijini Dar es salaam, wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mashindano ya kusoma Quraan Tukufu, yanayoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Uhuru.


  Vijana wengi wamejitokeza kwenye Mashindno hayo.

No comments:

Post a Comment