Wednesday, 8 June 2016

Viongozi 22 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani

 http://www.jamiiforums.com/attachments/kahama1-jpg.354733/
Viongozi 22 wa CHADEMA wameshtakiwa katika mahakama ya Wilaya Kahama kwa kosa la mkusanyiko kinyume na sheria.


Jana Jeshi la Polisi lilipiga marufuku mkutano wa CHADEMA uliokuwa ufanyike Kahama.


Viongozi haoni Lembeli, Godbless Lema, Mwenyekiti wa BAVICHA Patriobas Katambi




No comments:

Post a Comment