Friday, 10 June 2016

Safari ya mwisho Mohamed Ali





Zaidi ya watu 14,000 walijitokeza katika hafla ya kumuaga Bondia Mohamed Ali katika ukumbi wa Kentucky Hall, ambapo pia familia yake ilihudhuria.
ali 2
Katika ibada ya Muslim Janazah iliyochukuwa zaidi ya saa moja, Mabondia na watu mashuhuri katika mchezo wa ngumi walihudhuria.


ali 3
Wake zake, watoto wake na wajukuu wake wote walikuwepo kwenye maombi haya. Mke wa kwanza wa Ali  Sonji Roi alifariki mwaka 2005, Mke wa pili wa Ali Khalilah Camacho-Ali, Mke wa tatu wa Ali, Veronica Porche-Ali walikuwepo.
ali 4
ali 5

No comments:

Post a Comment