Baadhi
ya Wateja wa Kampuni ya Simu Ya Tigo wakiwa katika foleni kwa ajili ya
kuhakiki simu zao zoezi linaloendelea kwa ushirikiano baina ya makampuni
ya simu na TCRA leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya watoa huduma wa Tigo wakitoa huduma kwa wateja wao wakati wa kampeni
ya kuhakiki simu kama ni Bandi au Orijino leo jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mauzo wa 4G kutoka Tigo Anthony Assenga akisikiliza maoni ya wateja
waliotembelea banda la tigo wakati wa kampeni ya kuhakiki simu kama ni
Bandi au Orijino leo jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mauzo wa 4G kutoka Tigo Anthony Assenga akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) kuhusu muitikio wa wananchi katika zoezi la
kuhakiki simu kama ni Bandi au Orijino leo jijini Dar es Slaam.
Watoa
huduma wa Baraza la Ushauri la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA –
CCC) wakitoa huduma kwa wateja wakati wa kampeni ya kuhakiki simu leo
jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment