Belle 9 amesema wapo katika mchakato wa kuiboresha kwanza na baada ya muda kidogo watatangaza wasanii watakao kuwa chini ya Vitamin Music.
“Tumeanza rasmi mwaka jana lakini kwa sasa nipo mimi pekee, tunapenda kufanya mambo yakiwa tayari ndiyo tuyaweke wazi” Alisema.
No comments:
Post a Comment