Basi
la Abiria la Kampuni ya TAHMEED linalofanya safari zake kati ya Tanga-
Dar es Salaam, limeteketea kwa moto katika barabara ya Chalinze- SegeraTaarifa
kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa hakuna mtu aliyefariki wala
kujeruhiwa kutokana na ajali hiyo lakini mizigo ya abiri ndiyo
imeteteketea ndani ya basi hilo.
Ajali imetokea wakati basi hilo likiwa limesimama baada ya Abiria mmoja kuomba Msaada akajisaidie (kuchimba dawa) na ndipo abiria waliokuwamo ndani ya gari alianza kusikia harufu ya moshi wa tairi linaloungua na ndipo wakatoka nje ya gari na muda mfupi gari lote likashika moto.

No comments:
Post a Comment