Sunday 12 April 2015

SOCCER LA NNJE

                            

Baadhi ya magazeti ya leo kurasa za michezo. Daily Star linasema Louis van Gaal amewataka wachezaji wake kuwa watulivu kabla ya derby ya kesho. The Mirror limeongoza na habari ya Raheem Sterling ambaye jana wakati akionesha jezi mpya, shabiki mmoja mwenye hasira alimwambia "hakikisha tunakuona na jezi hiyo msimu ujao". 

No comments:

Post a Comment