Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 44 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 08, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
–(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 8, 2017.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk
Philip Mpango akisoma Taarifa ya hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka
2016 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018
katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 8, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani
Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa
akifurahia jambo na Mbunge wa Ndanda (CHADEMA) Mhe.Cecil Mwambe katika
kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8,
2017.
Naibu Waziri Maji na Umwagiliaji
Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.
Mbunge wa Viti maalum (CCM)
Mhe.Maida Abdallah akiuliza swali katika kikao cha 44 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera ,Bunge,Kazi ,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba
katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 8, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii
Mhe.Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Mbunge wa Hanang’ katika
kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8,
2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)
Mhe.Rhoda Kunchela akiuliza swali katika kikao cha 44 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 8, 2017
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
No comments:
Post a Comment