Wednesday 21 June 2017

Bonface Jocob amechiwa huru na Polisi


Meya wa Manspaa ya Ubungo Bonface Jocob amechiwa huru kutoka kwenye kituo cha Polisia aliposhikiliwa tangu  juzi saa sita mchana.
Jacob alishikiliwa  akiwa makao makuu ya manispaa hiyo, Kibamba, akiwa katika msafara uliokuwa unaelekea kukagua miradi ya maendeleo akiwa na viongozi wenzake wa Chadema, akiwamo mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.

No comments:

Post a Comment