Wednesday 21 June 2017

Katibu Tawala mkoa wa Tanga afungua mkutano wa wadau wa sheria

SHEM1
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bi.  Zena Said akifungua kikao cha  Wadau wa sheria mkoa wa Tanga kutoa maoni juu ya utafiti kuhusu taratibu zinazozuia utoaji haki jinai kikao kilichofanyika ofisi za Mkuu wa mkoa  jijini Tanga, kulia ni Afisa Sheria Mkuu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Anjela Shila( picha na Munir Shemweta LRCT)
SHEM2
Baadhi ya washiriki wa kikao cha  Wadau wa sheria mkoa wa Tanga wakimsikiliza Katibu Tawala wa mkoa huo Bi. Zena Said (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kutoa maoni juu ya utafiti kuhusu taratibu zinazozuia utoaji haki jinai kikao kilichofanyika ofisi za Mkuu wa mkoa  jijini Tanga,( picha na Munir Shemweta LRCT)
SHEM3
Katibu Tawala Mkoa wa Tanga akizungumza na Afisa Sheria Mkuu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Anjela Shila ofisini kwake kabla ya kufungua mkutano wa Wadau wa Sheria mkoa wa Tanga.
SHEM4
Mmoja wa wadau akiwasilisha maoni wakati wa Kikao
SHEM5
Baadhi ya washiriki akimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bi. Zena Said wakati wa ufunguzi wa Kikao. (Picha zote na Munir Shemweta -LRCT)

No comments:

Post a Comment