Thursday 22 June 2017

Uzinduzi wa ofisi ya TRA Chato

CHAT1
Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere akitolea maelezo ya kina kwa Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa namna jengo la ofisi ya TRA Chato litakavyoweza kuchochea ukusanyaji wa mapato katika Wilaya ya Chato.
CHAT2
Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa maagizo kwa watendaji wa TRA mara baada ya kupata  maelezo ya jengo la ofisi ya TRA kutoka Meneja wa TRA wilaya ya Chato Abdallah Mtumwa 
CHAT3
Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere akitoa maelezo ya mradi wa ujenzi wa ofisi ya TRA katika uzinduzi wa ofisi hiyo uliofanyika leo katika wilaya ya Chato, mkoa wa Geita

No comments:

Post a Comment