Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akiwasili
katika kikao cha kati yake na wazee wa Mtama kikilchofanyika kwenye
ukumbi wa kanisa katoliki kijiji cha Majengo A huku akiwa ameongozana na
Katibu Msaidizi wa Wilaya ya Lindi Vijijini Bw. Shaibu Bakari Ngatiche
Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya wazee wakati alipowasili katika ukumbi wa mkutano wake kati ya yake na wazee Mtama.
Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh
Nape Nnauye akizungumza na wazee wa Mtama leo kwenye ukumbi wa kianisa
Katoliki Kijiji cha Majengo A.
Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wazee hao leo.
Baadhi ya wazee wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Nape Nnauye wakati akizungumzza nao leo.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi
vijijini Bw. Mohamed Nanyali akizungumza na wanachama wa CCM na
wananchi wakati akimkaribisha Mbunge wa jimbo hilo Mh. Nape nnauye ili
kuzungumza na wapiga kura wake.
No comments:
Post a Comment