Saturday 22 April 2017

Habari Picha

unnamed
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  amekutana na Mabalozi  Wanane waTanzania Walioteuliwa  hivi karibuni, Ambao  Walifika Ofisini kwake  Mjini  Dodoma 21/April/2017  kumuaga  kwa ajili ya kwenda  Kuanza  Kazi  ya kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizo pangiwa 

No comments:

Post a Comment