Monday 24 April 2017

Chuo Kukuu cha (Istanbul Technical University (ITU)Uturuki washerekea Miaka 53

Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Chuo Kukuu cha  (Istanbul Technical University (ITU)uturuki wakisherekea siku ya muungano jana mjini Istanbul mjini Istambul , sherehe hizo zimefanyika ikiwa ni kuadhimisha miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo walishiriki katika michezo mbalimbali na burudani fuatilia matukio ya picha chini ili kujua sherehe zilivyokuwa.
(Photos by Doreen Mlote, Engineering Student ITU )
it1 it2 it3 it4 it5 it6

No comments:

Post a Comment