Wednesday 26 April 2017

Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano

unnamed
Vikosi vya Jeshi la Wananchi wa TRanzania JWTZ,pamoja na Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri,wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo,Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli.
A
 Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli.
A 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli akiwa katika Gari maalum na kuwapungia mkono Wananchi mbali mbali wa Mji wa Dodoma wakati wa sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri,[Picha na Ikulu.]26/04/2017

No comments:

Post a Comment