Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Tamisemi Mhe.George Simba Chawene akizungumza na vyombo vya habari
mara baada ya kutembelea shule ya sekondari ya Ihungo ambayo
imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.Kushoto kwake ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama.
Wafanyakazi wa VETA wakiendelea
na ubomoaji wa Shule ya Ihungo ambayo inavunjwa na kujengwa upya kwa
msaada wadau na Serikali baada ya kuathiriwa na tetemeko la ardhi la
hivi karibuni Mkoani Kagera.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Tamisemi Mhe.George Simba Chawene akizungumza jambo na Waziri wa
Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya kutembelea shule ya sekondari ya Ihungo ambayo imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.
Waziri wa Sera, Bunge,
Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na
wahandishi wa habari kuhusu hatua ambayo serikali imechukua kusaidia
ukarabati wa shule ya Ihungo ambayo imeathiriwa vibaya na Tetemeko la
Ardhi.KUlia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tamisemi Mhe.George
Simba Chawene
No comments:
Post a Comment