Rais achukue hatua zifuatazo
Awafikishe mahakamani watu wote waliohusika na kuitia Nchi hasara katika sakata la TEGETA Escrow
Aitwae mitambo ya IPTL kisheria na kuimilikisha Kwa TANESCO
Amkamate Bwana Harbinder Singh Seth na wafuasi wake wote na kuwafikisha mahakamani Kwa makosa ya utapeli, wizi, uhujumu uchumi, utakatishaji wa Fedha nk
Benki iliyotumika kupitisha Fedha za TEGETA escrow ndio ilipe Hilo deni tunalotakiwa kulipa
Rais aamue kusimama na watanzania au kusimama na matapeli wa TEGETA escrow

No comments:
Post a Comment