Polisi wapiga risasi hewani kutawanya wafuasi wa CUF
Wafuasi wa CUF wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Askari wa Jeshi la Polisi kwenye moja ya mikutano yao waliyowahi kufanya.
Dar es Salaam. Polisi wamepiga risasi hewani kuwatawanya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.
Tukio hilo limetokea leo katika ofisi za makao makuu ya CUF Buguruni ambapo kuna mkutano na waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment