Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka,
akizungumza wakati akiifungua semina ya Wahariri wakuu wa Vyombo vya
Habari kuhusu mafao mbalimbali katika mifuko ya hifadhi ya jamii,
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere (JNICC), Dar es Salaam
leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti wa SSRA, Asgar Mushi na Katikati ni
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamasishaji (SSRA) Sarah Kibonde
Msika.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka,
akifafanua zaidi wakati wa semina hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka,
wa tatu kutoka kulia akiwa kwenye semina hiyo kulia ni Mjumbe wa bodi ya
Jukwaa la Wahariri na mhariri wa Clouds Media Joyce Shebe , Nevil Meena
Katibu wa Jukwaa la Wahariri na kushoto ni Mkurugenzi wa Utafiti wa
SSRA, Ansgar Mushi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
(SSRA), Sarah Kibonde akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu ili kuzingumza na
wahariri wa vyombo vya habari katika semina hiyo.
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali wakifuatilia mada katika semina hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
(SSRA), Sarah Kibonde akizungumza na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri
Bw. Nevil Meena katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka na kushoto ni
Asgar Mushi Mkurugenzi wa Utafiti SSRA
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika semina hiyo.
Semina ikiendelea.
Wahariri wakifuatilia semina hiyo
kutoka kushoto ni Joseph Kulangwa kutoka Jambo Leo, Lilian Timbuka
kutoka Mwananchi na Reginand Miruko.
Kulia ni Honorius Njole Mkurugenzi
wa Huduma za Sheria SSRA na Lightnes Mauki Mkurugenzi wa Utekelezaji
na Usajili SSRA wakifuatilia semina hiyo
Mkurugenzi wa Utafiti Ansgar Mushi akiwasilisha mada katika semina hiyo.
Lightnes Mauki Mkurugenzi wa
Utekelezaji na Usajili SSRA akiwasilisha mada ya Ukaguzi wa Mifuko ya
hifadhi ya jamiikatika semina hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka
na kulia na Ansgar Mushi Mkurugenzi wa Utafiti SSRA wakifuatilia mada
katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment