Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiingia kwenye ukumbi wa Bunge kwa
ajili ya kuendesha mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai Akiwaongoza Wabunge wa kuimba wimbo
wa Taifa wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakiwa katika ukumbi wa bunge wakati wa mkutano wa
nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
leo Mjini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.
George Masaju akimueleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la
kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais
(TAMISEMI) Mhe. Selemani Said Jafo (MB) akieleza mpango wa kuendelea
kuimarisha hospitali za Serikali Nchini.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas
Kashililah akiwaeleza jambo Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George
Masaju na Waziri Wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana,Wazee
na Wenye Ulemavu wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja
(11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akieleza mipango ya Serikali katika
kuimarisha michezo nchini na kuwataka wadau mbalimbali kujitokeza
kusaidiana na Serikali kuwekeza katika Michezo.
Mbunge wa Jimbo la Chemba Mhe.
Juma Nkamia akiwaeleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (MB), wakati wa mkutano
wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo Mjini Dodoma.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
No comments:
Post a Comment