Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri akitoa
taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa Bei ambapo kwa
mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini
Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa Bei
ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao
Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
Mwandishi mwandamizi wa I,T,V
Farouk Karim akiuluza maswali kwa Mkuu wa Kitengo cha Takwimu za Bei
Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Hamis Ahmada Shauri
kuhusiana na Mfumuko wa Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha
kushuka.hapo katika ofisi yao Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
Meneja wa Uchumi katika Benki
kuu Tawi la Zanzibar Moto Ng’winganele lugobi akitolea ufafanuzi wa
maswala katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mfumuko wa
Bei ambapo kwa mwezi wa Nane unaonesha kushuka.hapo katika ofisi yao
Mwanakwereke Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment