Mkuu wa Gereza Tukuyu, Mkoani
Mbeya, SSP. Prosper Kinyaga akionesha sehemu ya eneo lenye ekari 26
linaloendesha Kilimo cha chai katika gereza hilo.
Wafungwa wa Gereza Tukuyu, Mkoani Mbeya wakivuna chai katika Shamba la Gereza hilo kama inavyoonekana katika picha.
Muonekano wa baadhi ya mashamba
ya Kilimo cha chai katika Gereza Tukuyu. Gereza hilo lilijengwa mwaka
1994 na shughuli zinazofanyika ni Kilimo cha chai, Kilimo cha Migomba,
Bustani za mbogamboga pamoja na Utunzaji wa mazingira kwa upandaji miti
na ufugaji wa samaki kwa majaribio(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
No comments:
Post a Comment