Yanga yachapwa naMO Bejaia ya Algeria
Usiku wa Jumapili June 19, Yanga ilipoteza mchezo wake wa kwanza wa
michuano ya shirikisho Afrika mbele ya MO Bejaia ya Algeria na kudosha
pointi tatu .
Yassin Sahli ndiye aliyewapa machungu wanajangwani dakika ya 20 tu pale
alipoifungia timu yake bao bekee kwenye mchezo huo lililodumu kwa dakika
zote za mchezo huo.
No comments:
Post a Comment