Sunday, 19 June 2016

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekutana na wadau wa Pamba

TAM1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wadau wa  zao la pamba kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 17, 2016. Kulia kwake ni Wazieri wa Kilimo,  Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mku)
TAM2

No comments:

Post a Comment