Polisi katika mji
wa Olarndo nchini Marekani, wanasema kuwa karibu watu 20 waliuawa kweye
shambulizi la risasi kwenye baa moja ya usiku.
Maafisa katika jimbo la Florida wanasema kuwa wanalichunguza shambulizi hilo linalochukuliwa kuwa la kigaidi.
Zaidi ya watu 40 waliojeruhiwa wamepelekwa matibabu hospitalini
Baa ya Pulse ambapo shambulizi hilo lilitokea inajitambua kama ya wapenzi wa jinsia moja.
No comments:
Post a Comment