Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na kumkaribisha Spika wa Bunge Mstaafu na mwenyekiti mpya
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne
Makinda Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mstaafu na mwenyekiti mpya wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda
Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16,2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiagana na Spika wa Bunge Mstaafu na mwenyekiti mpya wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda Ikulu
jijini Dar es salaam Juni 16, 2016 baada ya kufanya mazungumzo

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al
Maadadi Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim
Al Maadadi Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiagana na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi
baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Juni 16,
2016
No comments:
Post a Comment