Rapa P diddy ndiye anatajwa kuwa rapa tajiri zaidi Duniani kwa mujibu wa tovuti mbali na jarida maarufu la Forbes.
Mkali huyu anauza jumba lake kubwa lililopo mjini New York Marekani.
Mtandao wa Hollywood life umeripoti kuwa mjengo huo ‘unabanwa’ kwa zaidi ya dola milioni $6.5 za kimarekani
No comments:
Post a Comment