
Msanii wa muziki Bongo mwenye matata mitandaoni, Gigy Money, amefunguka na kudai kuwa yeye kwa mwanaume wa kutoka nae huwa anaangalia Uzuri pamoja na Pesa.
Gigy amedai kwamba kutembea na mwanaume masikini ni kujipa stress zisizo na msingi.
“Naangalia pesa kabla sijamkubali Mwanaume, unajua kuwa na mtu Maskini inaleta Stress tu, napenda pia wanaume wazuri” Alisema.
Katika ‘line’ nyingine mwanadada huyo kaahidi kuachia video ya wimbo wake wa Supu si muda mrefu.
No comments:
Post a Comment