Tuesday, 14 June 2016

Linah:kuongezeka kwa wasanii wa kike ni chachu ya ushindani katika soko

 
wanamuziki wa Kike Bongo, Linah Sanga, ameweka wazi kuwa ujio wa wasanii wenzie wa kike kwenye tasnia hii hapa nchini ambao ni Vanessa Mdee, Ruby na Maua walimteteresha na kumpa changamoto kiasi kwenye muziki.


 Linah amefurahi pia kuongezeka kwa wasanii wa kike na kuongeza chachu ya kupanuka kwa soko Afrika.
“Kiukweli wakati wanakuja wakina Vanessa, Ruby, Maua na wengine walinipa changamoto katika muziki wangu ila ndio vizuri wanawake tuongezeke”Alisema.

No comments:

Post a Comment