Kampuni ya Auto Xpress yazinduwa Tawi lake Dar es Salaam
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akikata utepe
kuzinduwa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah pamoja
na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa
(wa kwanza kulia).

Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kulia) akizungumza katika
uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Makapuni ya Auto Xpress, Sandeep Shah
akizungumza kabla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kwa tawi la Dar es Salaam.
Kampuni ya Auto Xpress tawi la Tanzania inafanya kazi ya ukaguzi wa
magari kiufundi (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia kompyuta
pamoja na uuzaji wa vifaa madhubuti kwenye magari.
Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Auto Xpress Tanzania, Leonard Mususa
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampuni hiyo tawi la Dar es
Salaam Tanzania. Kampuni ya Auto Xpress tawi la Tanzania itafanya kazi
ya ukaguzi wa magari kiufundi (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia
kompyuta pamoja na uuzaji wa vifaa madhubuti kwenye magari.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Kampuni ya
Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakifuatilia matukio katika shughuli
hiyo. Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam inafanya kazi ya
ukaguzi wa magari kiufundi (service) kwa mfumo wa kisasa kwa kutumia

Auto Xpress tawi la Dar es Salaam wakibadilishana mawazo kabla ya
uzinduzi huo.

Baadhi ya mafundi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam
wakilifanyia uchunguzi kiufundi moja ya gari lililofika kwa service
kwenye karakana yao.
[
Moja ya gari likikaguliwa kwenye karakana ya Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam na mafundi wa kampuni hiyo.

wakikagua magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi
wa kiufundi kwenye karakana yao.
Baadhi ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam
wakikagua magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi
wa kiufundi kwenye karakana yao.
Baadhi ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam
wakilifanyia uchunguzi kiufundi moja ya gari lililofika kwa service
kwenye karakana yao.
Baadhi ya mafunzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam
wakikagua magurudumo katika moja ya magari yaliofika kufanyiwa uchunguzi
wa kiufundi kwenye karakana yao.
Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhandisi Joseph Malongo (wa pili kushoto) akipata maelekezo
toka kwa wataalamu katika uzinduzi wa Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar
es Salaam.
Moja ya gari likikaguliwa kwenye karakana ya Kampuni ya Auto Xpress tawi la Dar es Salaam na mafundi wa kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment