
Mchekeshaji na mshindi wa Big Brother Afrika Idris Sultan, amedai lengo lake la kufanya uigizaji lipo pale pale lakini si kwa Bongo.
Idris a endapo akitakiwa Hollywood anakwenda hata sasa hivi.
“Nia yangu ni kuingia kwenye tasnia ya filamu,” alieleza Idris Sultan baada ya kuulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye tasnia ya filamu.
“Target yangu kubwa ni Hollywood, yaani hata nikiambiwa niende sasa hivi nikaigize nimekufa nitaenda fasta ila kasoro kwenda kuigiza kuwa punga Hollywood, hiyo hapana,” aliongeza.
Katika hatua nyingine, Idris amesema tayari ameshasaini madili ya kuwa balozi wa makampuni kadhaa na baada ya mwezi wa ramadhani atayaweka wazi.
No comments:
Post a Comment