Wednesday, 8 June 2016

Christ Brown na Wizkid,uso kwa uso Nigeria






Tayari staa wa Nigeria na Afrika kwa ujumla Wizkid, ni levo nyingine tena kwa sasa katika ulimwengu wa muziki Duniani.


Kupata deal ya kusikika kwenye album na Tour ya Drake, kufanikiwa kolabo na mastaa kadhaa wa ‘Grade A’, sasa mkali huyo ana mpya na Chris Brown.
Katika Mtandao wa Snapchat Wizkid amepost video akiwa na Chris Brown wakiwa katika matanuzi mjini Hamburg nchini Ujerumani. Cheki video hiyo hapa Chini:

No comments:

Post a Comment