
Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba, yanatarajiwa kufunguliwa leo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ikiwa ni maonesho ya kwanza ya mpango wa pili wa miaka mitano ya ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini.



WABUNGE wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo asubuhi wameingia bungeni
wakiwa wamevalia nguo nyeusi wote walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge
la Bajeti mjini Dodoma.










