Thursday 17 March 2016

Ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa-Chato


1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpa pole Joyce  Thobias na mwanae  Jonathan Mbarak  ambaye amelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Chato akimuuguza mwanae majeraha ya moto Machi 16,2916. mheshimiwa Pinda alikuwa katika  siku ya kwanza ya ziara yake mkoani  Geita.
3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha gari la wagonjwa  likiwa ni oja kati ya mawili yaliyotolewa msaada na  Bibi Merete Trolle wa Denmark akisaidiwa kulisafilisha had hapa nchini na  Mgodi wa Geita Gold Mine. Makbidhiano hayo yalifanyika kwenye hospitali ya wilaya ya Chato Machi 162016.
4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua duka la dawa la MSD baada ya kulizindua kwenye hospitali ya wilaya ya  Chato Machi16, 2016. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD, Profesa Mtulia.5Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanachama wa  Ushirika wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Biharamulo Cooperative Union mjini Chato ,Machi 16, 2016
7Waziri Mkuu, Kasim Majaliiwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Chato , Machi 16, 2016.

No comments:

Post a Comment