Monday 28 March 2016

Mada Maugo apigwa T.K.O ya Raundi Ya Tatu Wenzake Wote Wametoka Droo

Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo

MABONDIA PIUS KAZAULA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA MPINZANI WAKE SEBA TEMBA

REFARII WA MPAMBANO WA MASUMBWI SAID CHAKU AKIWAINUA MIKONO JUU MAONDIA PIUS KAZAULA KUSHOTO NA SEBA TEMBA BAADA YA MPAMBANO WAO KUMALIZIKA KWA DROO

Bondia mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo

Mabondia Mada Maugo kioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Abdallah Pazi wakai wa mpambano wao Pazi alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa ndani wa Taifa
Mabondia Nassibu Ramadhani kushoto akionshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa raundi nane uliofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya jumapili ya psaka mpambano uho ulisha kwa maamuzi ya droo
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano waouliofanyika uwanja wea ndani wa taifa Dar es salaam mpambano uho ulishaa kwa Droo
Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo
Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo

Na Mwandishi Wetu
MASHABIKI wapata burudani mashabiki waliofika uwanja wa ndani wa taifa kulikokuwa kunafanyika mchezo wa Masumbwi wametoka na furaha tele baada ya kushudia mapambano waliyokuwa wakiyasubili kwa hamu kubwa Hapa nchini

Akizungumza baada ya kumalizika mpambano uho mratibu wa mapambano hayo Rajabu Mhamili ‘Super D’ Amesema mashabiki wamefuraia mapambano ambayo karibia yote yalimalizika kwa droo
Akitaja matokeo ya mapambano hayo amesema bondia Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ alimsambaratisha bondia Mada Maugo kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati Mohamedi Matumla na Cosmas Cheka waritoka droo
Wakati Pius Kazaula alitoa Droo na Seba Temba 

Mpambano mwingine mkali uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa ngumi nchini 
Kati ya bondia Nassibu Ramadhani na Fransci Miyeyusho nawo pia umemalizika kwa sale 
Wakati uhu uhu mabondia Mfaume Mfaume na Ramadhani Shauri wanatarajia kusaini mkataba wa kuzipiga siku y Mei mosi katika uwanja uho uho wa taifa

No comments:

Post a Comment