Thursday 17 March 2016

Jaji mkuu Zanzibar amesema Uchaguzi wa Marudio Zanzibar upo Sawa kisheria


unnamedJaji Mkuu Wa Zanzibar akiwa katika ukaguzi wa maendelea ya idara hii ya mahakama visiwani Pemba Ameongea hayo katika Mahojiano Maalumu na Focus Media juu ya Hali ya kisiasa na uchaguzi wa marudio Zanzibar mapema tarehe 16 March 2015

Amesema hadi sasa Hakuna Pingamizi lolote la kisheria lililoletwa mezani kwa ajili ya pingamizi kisheria la Uchaguzi wa Marudio,amesema Wananchi Wamegubikwa na Ushabiki bila kufuata kanuni na sheria za Uchaguzi,Uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na amewataka wananchi kujitokeza kwa amani na utulivu kuhakikisha wanapata viongozi bora.

No comments:

Post a Comment