Monday 21 March 2016

Tume Yakutana na Wadau kupitia Mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma

she1
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akifungua Warsha ya siku moja baina ya Tume na Wadau kujadili mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma Sura ya 410 ya Mwaka 2011, iiliyofanyika katika ukumbi wa Tume Dra es Salaam.
she2
Baadhi ya wadau wakifuatilia vipengele vya sheria wakati wa kupitia mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.
she3
Tesha amabaye ni mjumbe kutoka Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) akiongoza kikao cha kupitia mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma Sura ya 410.
she4
Sekretarieti ya Tume ikiwa makini kufuatilia hoja zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa kupitia Mapendekezo ya Maboresho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma (Picha zote na Munir Shemweta, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania)

No comments:

Post a Comment