Waziri Nape Nnauye afungua kikao kazi cha Maafisa Habari Morogoro
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole
Gabriel akimkaribisha Waziri wa wizara hiyo Nape nnauye kufungua kikao
cha maafisa habari kilichoanza leo mkoani Morogoro.
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akifungua kikao
cha maafisa habari kinachofanyika Morogoro.Kikao hicho kinafanyika
kuanzia tar 14-18 Machi katika viwanja vya VETA.
Mkurugenzi
Mkuu Idara ya Habari-MAELEZO akizungumza jambo katika kikao cha maafisa
Habari kilichofunguliwa leo Morogoro Mjini katika viwanja vya VETA.
Mwenyekiti
wa chama cha maafisa mawasiliano Serikalini(TAGCO) Innocent Mungi
akimwomba Waziri Nape kuwa mlezi mzuri wa maafisa habari katika
kipindichake cha uongozi na kutosita kuwaeleza ukweli pale wanapokosea.
Maafisa
Habari kutoka sehemu mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na waziri
wa Habari,utamaduni,sanaa na michezo Mhe.Nape Nnauye mara baada ya
kufungua kikao hicho leo morogoro mjini.
No comments:
Post a Comment