Tuesday 22 March 2016

Hussein Bashe Amejiuzulu Ujumbe wa kamati ya Bunge


Mbunge wa Nzega Mjini na Kiongozi wa chama cha CCM, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii Anayohudumu kuwa kuna Baadhi ya Wajumbe Wammepokea Rushwa.

Kutokana na Shutuma hizo ameamua kuungana  na  Zitto Kabwe  kumuandikia spika  Barua  ya Kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua Hatua.

Hii  ni nakala ya Barua yake aliyomwandikia Spika wa Bunge
 

No comments:

Post a Comment