Thursday 17 March 2016

Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini Wamegawa Vifaa vya kusomea na kuhamasisha Mauaji ya wakulima

8Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Kilosa wakati alipokuwa akiongea nao walipotembelea shule ya palakuyo kutoa vifaa vya kusomea masomo ya Sayansi na kufanya kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji.
9Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakifanya kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa.maafisa hao walitoa pia msaada wa vifaa vya kusomea masomo ya sayansi.
10Meneja Uhusiano na Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi.sylvia Lupembe(kushoto) akikabidhi vifaa vya kusomea masomo ya sayansi kwa mkuu wa wilaya ya kilosa Bw.John Henjewele wakati wakati wa kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji.
11Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari-MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akigawa msaada wa vitabu kwa watoto wa shule ya Mabwerebwere wilayani kilosa wakati walipotembelea walayani hapo kusaidia masuala ya elimu pamoja na kufanya kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji.
12Mkurugenzi Idara ya Habari- MAELEZO Bw.Assa Mwambene(wa tatu kushoto) akikabidhi madawati kwa watoto wa shule ya msingi Tindiga wakati maafisa habari na mawasiliano wa serikali walipotembelea shule hiyo kugawa madawati na kufanya kampeni ya kuhamasisha kuacha mauaji baina ya wakulima na wafugaji wilayani kilosa.Wengine pichani ni Mkuu wa wilaya ya kilosa Bw.John

No comments:

Post a Comment