Tuesday, 6 June 2017

Taarifa ya ACT Wazalendo kuhusiana na uteuzi wa Anna Elisha Mghwira

 June 3, 2017 Rais Magufuli alimteua Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro.
June 6, 2017 Katibu wa Itifaki na Uenezi na Mawasiliano ya Ummma wa ACT Wazaledo Ado Shaibu ametoa taarifa iliyosema kuwa Kamati ya uongozi ya chama hicho itakutana June 7, 2016 kutafakari namna ambavyo Anna Mghwira atatekeleza wajibu wake wa Uenyekiti wa chama na majukumu mapya.

No comments:

Post a Comment