Polisi yatawanya maandamano ya Walemavu kwa kutumia mabomu ya machozi
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi ili
kuwatawanya walemavu waliofunga Barabara wakipinga kuzuiwa kuingia
katikati ya mji na baiskeli.
Taarifa za awali zinasema kuwa Jeshi la Polisi linawashikilia walemavu
kadhaa kuhusiana na tukio hilo ambalo limefanyika leo maeneo ya Posta
jijini Dar.
No comments:
Post a Comment