Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.
Serikali kupitia Wizara ya Katiba
na Sheria imesema inaendelea na mchakato wa ndani wa kufanyia
marekebisho ya kuhuisha na kuimarisha maeneo yaliyo mazuri ya sheria ya
ndoa ya mwaka 1971 na kuwasilishwa Bungeni ili kuendana na wakati.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa
Katiba na Sheria Mhe.Prof.Palamagamba Kabudi wakati akijibu hoja
mbalimbali za wabunge Mjini Dodoma.
“Serikali inaendelea na mchakato
huu wa mapendekezo ya marekebisho ya Sheria hii Bungeni ili iweze
kuendana na wakati kwa kuondoa upungufu uliopo kwa maslahi mapana ya
nchi yetu”,Aliongeza Mhe.Kabudi.
Amesema kuwa baada ya miaka 20
kupita tangu sharia hiyo ya ndoa itungwe,Serikali kupitia tume ya
kurekebisha Sheria iliifanyia mapitio ya sheria hiyo na kubaini maeneo
kadhaa yenye udhaifu na hivyo kuhitaji kufanyiwa marekebisho.
Amebainisha kuwa Kutokana na
maoni hayo ya tume,mwaka 2008 Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria
iliandaa waraka wa baraza la Mawaziri uliokuwa na mapendekezo ya
marekebisho ya sharia ya ndoa ya mwaka 1971,hata hivyo desemba 2010
kabla waraka huo kujadiliwa na kuridhiwa na baraza la Mawaziri mchakato
wa mabadiliko ya katiba ya jamhuri ya muungano ukaanza na kulilazimu
Baraza kusitisha kwa muda mchakato huo.
“Serikali ilikuwa na matarajio
kuwa wakati tume ya mabadiliko ya katiba inakusanya maoni ya wananchi
kuhusu mabadiliko ya katiba,wananchi wangetoa maoni kuhusu Sheria ya
ndoa pamoja na sheria nyingine zinazofanana na hiyo na hivyo maoni
yaliyotolewa wakati wa Sheria ya Ndoa yalikuwa machache sana”Alifafanua
Mhe.Kabudi.
Sheria ya ndoa mwaka 1971 ni matokeo ya mjadala mpana na shirikishi kupitia waraka wa Serikali namba moja wa mwaka 1969.
Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
ReplyDeleteNiliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi
I want to give a testimony on how I got cured from Herpes Virus. Few months back I was having some symptoms. I went to see a doctor and many blood tests were done on me, later on I was told I had Herpes. My doctor told me that there’s no cure for Herpes. I felt bad, I went online searching for a possible cure for Herpes Virus, I saw a post of Dr. Dawn, a herbal doctor that’s helping people get cured from Herpes.Cancer.HIV and more I contacted him and told him how I’m feeling. He said his herbal medicine can cure me. He sent me the medicine via UPS delivery service and I received the medicine 6 days after he sent it, i took the medicine as prescribed by him. Before I completed the medication the symptoms stopped. I went to the doctor and carried out another blood test, surprisingly I was Negative. I haven’t had any symptoms anymore. Dr. Dawn is great and you can
ReplyDeletecontact on WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
If you need herbal medicine to cure any chronic or sexual transmitted disease's like.
HERPES.
CANCER.
HIV/AID'S and more