Nape aandika maneno matatu kuhusu kupotea kwa Roma
Baada ya mastaa mbalimbali kuguswa juu ya stori ya Roma mkatoliki na
wenzake watatu kuchukuliwa na watu wasiofahamika kwenye Studio za Tongwe
Records na kupelekwa sehemu isiyojulikana, sasa leo April 7 2017 Mbunge
wa Mtama (CCM) Nape Moses Nnauye ameonesha hisia zake juu ya tukio
hilo.
Kupitia account yake ya twitter Nape Nnauye ameyaandika maneno haya
matatu kuhusu Roma…>>>”Roma! Oooooh No!” – Nape Nnauye.
No comments:
Post a Comment