China inaongoza kuwa na matajiri wengi Duniani
Baada ya Shirika la Fedha duniani ‘IMF’ kutangaza kuongezeka kwa uchumi
wa dunia ukilinganisha na mwaka 2016, leo April 8 2017 nakusogezea list
ya nchi zenye mabilionea wengi zaidi duniani kwa mwaka 2017, kwa mujibu
wa tovuti ya takwimu Statista.
Takwimu hizi zinaonesha China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani
ambao ni zaidi ya 609 ikifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552.
Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea
17.
No comments:
Post a Comment