NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said
SHIRIKA la Umeme nchini Tanzania, (TANESCO), limesaini mkataba na makampuni matatu
kujenga njia ya umeme, (Transmission lines), wa Msongo wa Kilovolti 400 utakaounganisha
Tanzania na Kenya.
kujenga njia ya umeme, (Transmission lines), wa Msongo wa Kilovolti 400 utakaounganisha
Tanzania na Kenya.
Hafla ya kutiliana saini mikataba hiyo, imefanyika leo Oktoba 7, 2016 makao makuu ya TANESCO
jijini Dar es Salaam, ambapo Shirika hilo la Umeme linalomilikiwa na serikali,
limetiliana saini mikataba hiyo na makampuni ya Bouygues Energies Service,
Energoinvest na Kalpa-Taru.
jijini Dar es Salaam, ambapo Shirika hilo la Umeme linalomilikiwa na serikali,
limetiliana saini mikataba hiyo na makampuni ya Bouygues Energies Service,
Energoinvest na Kalpa-Taru.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi, Felchesmi
Mramba, alisema, Ujenzi wa Mradi huu wenye urefu wa Kilomita 414, utaanzia
Mkoani Singida,-Babati-Arusha hadi Namanga kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.
Mramba, alisema, Ujenzi wa Mradi huu wenye urefu wa Kilomita 414, utaanzia
Mkoani Singida,-Babati-Arusha hadi Namanga kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya.
Kisha Mradi utaunganishwa na njia ya Msongo wa Kilovolti 400 yenye urefu wa kilomita
96 kutoka eneo la Isinya, Nairobi, nchini Kenya hadi eneo la mpaka wa Tanzania
na Kenya, (Namanga) ambapo utaunganisha na njia ya umeme wa wa Msongo wa
Kilovolti 400kv kwa upande wa Tanzania.
96 kutoka eneo la Isinya, Nairobi, nchini Kenya hadi eneo la mpaka wa Tanzania
na Kenya, (Namanga) ambapo utaunganisha na njia ya umeme wa wa Msongo wa
Kilovolti 400kv kwa upande wa Tanzania.
“
Napana niwahakikishie, kuwa huu ni mfululizo wa miradi mikubwa inayotekelezwa
na TANESCO na utawezesha usafirishaji wa umeme wa Mgawati 2000 katika pande
zotekenya na Tanzania”. Alifafanua Mramba.
Napana niwahakikishie, kuwa huu ni mfululizo wa miradi mikubwa inayotekelezwa
na TANESCO na utawezesha usafirishaji wa umeme wa Mgawati 2000 katika pande
zotekenya na Tanzania”. Alifafanua Mramba.
Akifafanua zaidi, Mhandisi Mramba alsiema, utekelezaji wa mradi huu unaofadhiliwa na Benki
ya Maendeleo ya Afrika, (AfDB), na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Japan,
(JICA), kwa gharama ya Dola za Kimarekani, Milioni 309.26 utakamilika katika
kipindi cha miezi 24, sawa na miaka 2.
ya Maendeleo ya Afrika, (AfDB), na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Japan,
(JICA), kwa gharama ya Dola za Kimarekani, Milioni 309.26 utakamilika katika
kipindi cha miezi 24, sawa na miaka 2.
“Dola za Marekani Milioni 258.82,
zitatumika kujenga upande wa Tanzania na Dola za Kimarekani Milioni
50.45 zitatumika kujenga mradi upande wa Kenya,” alifafanua Mhandisi
Mramba.
Hata hivyo Mkurugenzi huyo Mtendaji alitoa onyo kwa wakandarasi waliopewa kazi hiyo
kuitekeleza kwa wakati kwa mujibu wa mkataba.
kuitekeleza kwa wakati kwa mujibu wa mkataba.
“Angalizo, kwenu ninyi wakandarasi, kamilishini mradi ndani ya muda kama ambavyo
tumekubaliana kwenye mkataba, kushindwa kukamilisha ujenzi kwa mujibu wa
mkataba ni kushindwa kufanya kazi na sisi kama TANESCO hatutakubaliana na hilo.”
Alionya Mhandisi Mramba.
tumekubaliana kwenye mkataba, kushindwa kukamilisha ujenzi kwa mujibu wa
mkataba ni kushindwa kufanya kazi na sisi kama TANESCO hatutakubaliana na hilo.”
Alionya Mhandisi Mramba.
Naye mwakilishi Mkazi wa (AfDB), Tonia Kandiero, alitoa hakikisho kuwa benki hiyo
itaendelea kusaidia miradi mikubwa kama hii, kwa manufaa ya eneo lote la
Afrika.
Kwa upande wake, MAfisa Miradi msaidizi wa JICA, Apolei Rosina, naye aliungana naitaendelea kusaidia miradi mikubwa kama hii, kwa manufaa ya eneo lote la
Afrika.
AfDB, kutoa hakikisho la ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na JICA,
katika kusaidia kutekeleza miradi ya maendeleo kama huu uliosainiwa leo
No comments:
Post a Comment