Monday 31 October 2016

Bondia Thomas Mashali auwawa, mwili wake waokotwa vichakani Dar

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali, hatunaye.Tokeo la picha la thomasi mashali

Yassin Abdallah maarufu kama Ustaadhi, mmoja wa viongozi wakongwe wa mchezo wa ngumi amethibitisha na kusema mwili wa Mashali upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
"Tumethibitishiwa hizo taarifa za majonzi kabisa, mwili upo Muhimbili na msiba upo kwao Tandale," alisema Ustaadhi.

No comments:

Post a Comment