Monday 24 October 2016

Sanches amshinda Rashford tuzo ya mchezaji bora chipukizi Ulaya

Kiungo wa kati wa Bayern Munich Renato Sanches amemshinda mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashfordna kushinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi Ulaya.Tokeo la picha la Renato Sanches
Sanches, 19, amewafuata Wayne Rooney, Raheem Sterling, Lionel Messi na Sergio Aguero katika kushinda tuzo hiyo ambayo kwa Kiingereza hufahamika kama Golden Boy na hutunukiwa mchezaji bora Ulaya wa chini ya miaka 21.Tokeo la picha la wayne rooney vs mournho
Rashford na mchezaji mwenzake Sanches Bayern Munich Kingsley Coman walikuwa wanapigania tuzo hiyo na Sanches.
Nyota huyo atakabidhiwa tuzo hiyo katika hafla itakayofanyika Monte Carlo Jumatatu

No comments:

Post a Comment